Jack Klaff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Klaff
Amezaliwa Jack Klaff
6 August 1951
Johannesburg
Nchi Afrika kusini
Majina mengine Jack
Kazi yake Mwandishi

Jack Klaff ni mhariri, mwandishi, na mtaaluma aliyezaliwa nchini Afrika Kusini.[1]alikuwa mkufunzi katika chuo kikuu cha Princeton University na Starlab.[2]

Miongoni mwa majukumu yake ya mwanzo ya televisheni yalikuwa katika Star Wars Episode IV mnamo mwaka 1977 kama Red four na For Your Eyes Only mwaka 1981 kama Waasi. Pia alionekana katika mfululizo wa vichekekesho vya redio ya BBC vya 1984-87, Delve Special pamoja na Stephen Fry.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Actor Jack Klaff Performs at St Mary's". 29 Novemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Novemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jack Klaff". Intelligence Squared. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 2016-12-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Klaff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.