Iluminata wa Todi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Iluminata katika mchoro wa ukutani, Canzano.

Iluminata wa Todi (alifariki Massa Martana au Todi, Umbria, Italia, 320 hivi) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu bikira, pengine pia mfiadini[1][2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Novemba[4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Illuminata". SPQN Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Desemba 2011. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome". Orthodox Europe. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/79720
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.