Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Kosta Rika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Kosta Rika inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Kosta Rika.

Kabla ya kufika kwa Wahispania katika karne ya 16, nchi ilikaliwa na Waindio wachache.

Mwaka 1821 koloni hilo lilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati dhidi ya utawala wa Hispania.

Mwanzoni nchi hizo ndogo zilijiunga na Meksiko lakini baada ya miaka miwili zilianzisha "Shirikisho la Amerika ya Kati" lililokwisha mwaka 1839.

Tangu mwaka 1847 Kosta Rika imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.

Mwaka 1948 kulitokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo viliwahi kwisha. Mwaka uliofuata nchi ilifuta kabisa jeshi hadi leo[1][2][3].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. El Espíritu del 48. "Abolición del Ejército" (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 9 Machi 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. "Costa Rica". World Desk Reference. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Februari 2008. Iliwekwa mnamo 9 Juni 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Costa Rica". Uppsala University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-10. Iliwekwa mnamo 9 Juni 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Kosta Rika kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.