Hicham Belkaroui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hicham Belkaroui (alizaliwa 24 Agosti 1990) ni mchezaji wa kandanda nchini Algeria ambaye anachezea klabu ya Saudi Al-Ain na timu ya taifa ya Algeria,ambapo hucheza kama beki wa kati.[1]

Kazi Yake Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

  • Mnamo Julai 2014, alitia saini mkataba wa miaka mitatu na Club Africain ya Tunisia. [2]
  • Mnamo 2019, Belkaroui alitia saini mkataba na USM Alger.
  • Mnamo 2020, Belkaroui alitia saini mkataba wa miaka miwili na MC Oran.
  • Mnamo 2021, Belkaroui alitia saini mkataba wa miaka miwili na klabu ya ES Sétif. [3]
  • Mnamo tarehe 5 Septemba 2022, Belkaroui alijiunga na klabu ya Al-Ain. [4]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Belkaroui signe à l'ESS pour 2 ans".
  2. "Hichem Belkaroui signe au CA" (kwa Kifaransa). Club Africain. 7 Julai 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "MCO : Belkaroui s'engage pour deux saisons".
  4. "يعلن نادي وفاق سطيف تعاقده مع اللاعب بلقروي هشام لموسمين".
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hicham Belkaroui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.