Hassan Athumani Ngwilizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hassan Athumani Ngwilizi (amezaliwa 1 Aprili, 1944) ni mbunge wa jimbo la Mlalo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Hassan Athumani Ngwilizi". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.