Fransisko wa Laval

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Fransisko wa Laval.

Fransisko wa Laval (Montigny-sur-Avre, Perche, 30 Aprili 1623 - Quebec, 6 Mei 1708), alikuwa askofu Mfaransa, wa kwanza katika koloni la New France, ambayo sasa ni sehemu ya Québec, Kanada, na mwanzilishi wa Shirika La Notre Dame wa Montreal.

Aliweka makao makuu katika jiji la Quebec na kwa miaka 50 hivi alistawisha Kanisa Katoliki katika Amerika Kaskazini hadi ghuba ya Meksiko[1].

Alitangazwa rasmi mwenyeheri na Papa Yohane Paulo II tarehe 22 Juni 1980, halafu mtakatifu na Papa Fransisko 3 Aprili 2014.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bégin, Émile (1959). "François de Laval". Quebec: Presses Universitaires. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)
  • Campeau, Lucien (1973). "Mgr de Laval et le Conseil souverain 1659–1684". Revue d'Histoire de l'Amérique Française. 27 (3): 323–359. doi:10.7202/303281ar.
  • Choquette, Robert (2004). "The Development of the Catholic Church". Canada's Religions. Ottawa: University of Ottawa Press.
  • Leblond de Brumath, Adrien (1906). Bishop Laval. Toronto: Morang & Co.
  • Plouffe, Hélène. "Séminaire de Québec". The Canadian Encyclopedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-15. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Vachon, André. "LAVAL, FRANÇOIS DE". The Dictionary of Canadian Biography Online. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Walsh, Henry Horace (1966). The Church in the French era from colonization to the British conquest. Toronto: Ryerson Press.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.