Folko Scotti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Folko Scotti (Piacenza, Italia ya leo, 1165 hivi; Pavia, 1229) alikuwa askofu wa miji hiyo miwili ambayo ilichukiana lakini yeye aliweza kuipatanisha[1][2][3].

Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Gregori IX.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Oktoba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90403
  2. "Fulk". Monks of Ramsgate. 1921. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. François Menant (1997). "FOLCO Scotti, santo". Dizionario Biografico degli Italiani. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.