Florence Iweta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Florence Iweta
Amezaliwa 29 Machi 1983
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Florence Iweta (alizaliwa 29 Machi 1983) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Aliwakilisha Nigeria katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2000.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "USA 1999: Nigeria". Soccer Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-14. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. FIFA.com. "Olympic Football Tournaments Sydney 2000 - Women - Nigeria - Overview - FIFA.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 2022-05-13. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florence Iweta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.