Fausto, Dio na Amoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fausto, Dio na Amoni (waliuawa Aleksandria, Misri, 311) walikuwa mapadri wa mji huo waliofia dini ya Ukristo pamoja na askofu wao Petro I wa Aleksandria katika dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu pangine pamoja na Neoteri na Theofilo[2].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.