Nenda kwa yaliyomo

Fatema Mernissi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fatema Mernissi

Mernissi akipokea Tuzo ya Erasmus, 2004
Amezaliwa 27 Septemba 1940
Moroko
Amekufa 30 Novemba 2015
Nchi moroko

Fatema Mernissi (Kiarabu: فاطمة مرنيسي , kiromania: Fāṭima Marnīsī; 27 Septemba 1940 - 30 Novemba 2015) alikuwa mwandishi na mwanasosholojia wa Moroko.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Fatema Mernissi alizaliwa tarehe 27 Septemba 1940 huko Fez, Moroko. Alilelewa katika nyumba ya bibi yake pamoja na jamaa na watumishi mbalimbali wa kike.[1]Alipata elimu yake ya msingi katika shule iliyoanzishwa na wanaharakati wa kitaifa, na elimu ya sekondari katika shule ya wasichana iliyofadhiliwa na jeshi la ulinzi wa Ufaransa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gayatri Devi (2015-12-18). "Fatima Mernissi obituary". the Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  2. Mernissi, Fatima (1987). Beyond the veil : male-female dynamics in modern Muslim society. Internet Archive. Bloomington : Indiana University Press. ISBN 978-0-253-31162-7.