Dioskoro II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dioskoro II wa Aleksandria (alifariki 27 Oktoba 517) kuanzia mwaka 516 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 31 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • "Dioscorus II the Younger (516–517)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07.
  • "البابا ديسقوروس الثاني" [Pope Dioscorus II] (kwa Arabic). Official website of St. Takla Haymanot's Church. Iliwekwa mnamo 2011-02-13.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.