Dina Averina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dina Alekseyevna Averina (alizaliwa 3 Agosti 1998) ni mtaalamu wa mazoezi ya viungo nchini Urusi, aliibuka mshindi wa medali ya fedha katika mashindano ya [1]olimoiki yaliyo fanyika mwaka 2020, mwanadada huyu ameibuka kuwa bigwa wa dunia mara nne mwaka2017, mwaka2018, mwaka 2019 na mwaka 2021[2], nimshindi[3] wa medali ya fedha ya mwaka 2018 na pia ni mshindi wa medali ya shaba ya Uropa ya mwaka 2021 na Mshindi wa Fainali ya Grand Prix ya mwaka 2016 [4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fédération Internationale de Gymnastique". www.gymnastics.sport. Iliwekwa mnamo 2021-12-03. 
  2. "Fédération Internationale de Gymnastique". www.gymnastics.sport. Iliwekwa mnamo 2021-12-03. 
  3. "Wayback Machine". web.archive.org. 2018-06-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-12-03. 
  4. "Grand Prix: 30th International Thiais 2016 | GYMmedia.com". www.gymmedia.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-03. 
  5. "Israel's Linoy Ashram upsets Dina Averina for gold in rhythmic gymnastics | NBC Olympics". www.nbcolympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-03.