Daniel Yona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Yona (alizaliwa 3 Mei 1941) ni mwanasiasa nchini Tanzania na mwanachama wa CCM na alikuwa Mbunge wa jimbo la Same Mashariki.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)