Cecilia Nku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cecilia Ngibo Nku
Amezaliwa [26 October 1992]
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu


Cecilia Ngibo Nku (alizaliwa 26 Oktoba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Rivers.[1][2][3]

Taaluma ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Nku alishiriki mara yake ya kwanza katika medani ya kimataifa mwaka 2010 akiichezea Nigeria katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la chini ya miaka 20 mwaka 2010. Alikuwa sehemu ya kikosi cha wakubwa cha Nigeria kilichoshinda Michuano ya Wanawake ya Afrika mwaka 2014 huko Namibia. Mei 2015, Nku alitiwa wito kuichezea timu ya Nigeria katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la mwaka 2015. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players - 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 20 June 2015. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Falcons fly out with high hopes". Nigeria Football Federation. 19 Mei 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-01. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Profile". FIFA.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-14. Iliwekwa mnamo 20 Juni 2015. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 2015-06-10 suggested (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Falcons fly out with high hopes". Nigeria Football Federation. 19 Mei 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-01. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Nku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.