Catholic Youth Organization Ghana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi ya kikatoliki ya vijana wa Ghana (Kiingereza The Catholic Youth Organization Ghana au (CYO Ghana) ni taasisi ya Vijana wa Katoliki nchini Ghana.[1][2][3] Taasisi hii ni taasisi iliyopo chini ya Taasisi za Kikatoliki ziitwazo the Catholic umbrella of youth organizations (Fimcap).[4] [5]

Historia[hariri | hariri chanzo]

CYO ilianzishwa nchini Ghana tarehe 22 Agosti mwaka 1948.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sundkler, Bengt; Steed, Christopher (2000-05-04). A History of the Church in Africa (kwa Kiingereza). Cambridge University Press. ISBN 9780521583428.
  2. "CYO faces logistics, financial challenges - Bishop Anokye". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2016-06-08.
  3. Abrefah, Kwame Attakorah. "Youth Development In Ghana: Challenging The Traditional Approaches And Rethinking Holistic Strategy". Modern Ghana (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2016-06-08.
  4. "CYO Ghana". fimcap.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-16. Iliwekwa mnamo 2016-06-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-11-27.