Carmen C. Bambach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carmen C. Bambach (1959) ni mwanahistoria wa sanaa kutoka marekani na msimamizi wa michoro ya Kiitaliano na Kihispania katika Jumba la Sanaa la Metropolitan huko New York ambaye anajifunza sanaa ya kitaliano ya Renaissance. Anachukuliwa kama mmoja wa wataalamu wanaoongoza duniani kuhusu Leonardo da Vinci, haswa michoro yake.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Carmen C. Bambach", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-03, iliwekwa mnamo 2024-05-11 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carmen C. Bambach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.