Brunel University African Poetry Prize

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Brunel University International African Poetry Prize ni tuzo ya fasihi inayolenga kukuza, kutangaza na kuendeleza ushairi kutoka katika bara la Afrika."[1][2] Tuzo hii inadhaminiwa na Chuo Kikuu cha Brunel kwa ushirikiano na waandishi wa Jumuia ya Madola na kituo cha African Centre cha London Uingereza na mfuko wa African Poetry Book Fund wa nchini Marekani[1], ikiambatana na kiasi cha fedha Euro 3000 na cheti cha heshima.[1]. Malengo yake ni kutazama miswada ya mashairi ambayo bado hayajachapishwa.[3]

Tuzo hiyo ilibuniwa na muandishi Mnigeria-Mwingereza Bernardine Evaristo kama sehemu ya kusaidia kutangaza ushairi wa Afrika kwa wasomaji walio nje ya bara hilo. Alinukuliwa akisema: " Ni wazi kwamba ushairi kutoka Afrika ukitiliwa maanani kwa watu kupewa tuzo utakitia moyo kizazi kijacho kuingia katika uandishi wa kimataifa."[4] .

Washindi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Brunel University African Poetry Prize (home page)". Iliwekwa mnamo Agosti 3, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ZWELIHLE SUKATI (Oktoba 11, 2012). "E33 000 for best African poetry". Times Of Swaziland. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Bernardine Evaristo Initiates the Brunel University African Poetry Prize". BooksLive. Agosti 8, 2012. Iliwekwa mnamo Septemba 17, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Bernardine Evaristo announces the Brunel University African Poetry Prize". African Poetry Book Fund. Julai 14, 2012. Iliwekwa mnamo Agosti 3, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Kenyan-Born Somali Poet Warsan Shines At The Brunel University African Poetry Prize". Vibe Weekly. 30 Aprili 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-02. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Carolyn (Aprili 30, 2013). "Warsan Shire Wins Brunel University African Poetry Prize 2013". Books Live. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Svensk-etiopisk poet och bibliotekarie finalist till Brunel University African Poetry Prize 2013" (kwa Swedish). Varldslitteratur. Aprili 11, 2013. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  8. "Liyou Libsekal Wins the 2014 Brunel University African Poetry". African Poetry Book Fund. Mei 16, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 29, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Bilen Shifferaw (Mei 22, 2014). "Ethiopian Poet Wins Prize". Ethio Beauty. Iliwekwa mnamo Mei 29, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Sunday Reading: Sorry, We Are Busy Growing. A New Poem By Liyou Libsekal". TheNewAfrica. Mei 18, 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 29, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 29, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Joint Winners 2015". The Brunel University African Poetry Prize. Mei 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-12. Iliwekwa mnamo Desemba 4, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. Nathaniel Bivan (Mei 14, 2016). "Nigeria: Two Nigerians Clinch 2016 Brunel Poetry Prize". AllAfrica. Iliwekwa mnamo Mei 3, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. Kemisola Ologbonyo. "Nigerian Poet". Stargist. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-22. Iliwekwa mnamo Mei 3, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. Jayne Augoye (Mei 2, 2017). "Nigeria's Romeo Oriogun Wins African Poetry Prize". AllAfrica. Iliwekwa mnamo Mei 3, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Brunel University African Poetry-Press Release Winners 2018". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-05. Iliwekwa mnamo 2020-04-24.
  16. "Winners 2019". The Brunel University African Poetry Prize. 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-12. Iliwekwa mnamo Oktoba 16, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brunel University African Poetry Prize kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.