Bononi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bononi, O.S.B. (Bologna, Emilia-Romagna, karne ya 10 - Lucedio, Piemonte, 30 Agosti 1026) alikuwa abati nchini Italia kwa miaka 30 baada ya kuishi tangu ujanani kama mmonaki, hasa nchini Misri[1][2].

Papa Yohane XIX alimtangaza mtakatifu mwaka 1026 .

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.