Benki M

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benki M (Bank M) ilikuwa benki ya biashara nchini Tanzania. Ilipewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, benki kuu na mdhibiti wa benki wa taifa, kushiriki kama benki ya biashara.[1]

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Makao makuu na tawi kuu la Benki M lilikuwa katika jengo la Benki M, karibu na Barack Obama Drive 8 (Barabara ya zamani ya Ocean), katika jiji la Dar es Salaam, jiji kubwa la Tanzania.[2].

Historia[hariri | hariri chanzo]

Benki ilipokea leseni yake kama benki ya biashara kutoka Benki ya Tanzania mnamo Februari 2007 na kufunguliwa mnamo Julai mwaka huohuo. Mtaji wake ulikuWa takriban Dola za Kimarekani milioni 17 ambazo ni (Shilingi za Tanzania: bilioni 25), ambapo Dola za Kimarekani milioni 6.3 (TZS: 9.3 bilioni) zilikuwa zimelipwa mpaka Oktoba mwaka 2010.[3]

Mnamo Januari mwaka 2019, mali na madeni yote ya Benki M zilinunuliwa na Benki ya Azania kwani leseni ya Benki M ilifutwa na Benki ya Tanzania [4]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bank of Tanzania (30 Juni 2017). "Directory of Commercial Banks Operating In Tanzania as of 30 June 2017" (PDF). Dar es Salaam: Bank of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 27 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Bloomberg LP (6 Julai 2016). "Company Overview of Bank M Tanzania Plc". Bloomberg LP. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Elinaza, Abduel (7 Oktoba 2010). "Tanzania: Bank M Posts TSh1.48 Billion Quarterly Profit". Tanzania Daily News (Dar es Salaam) via AllAfrica.com. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Reuters (15 Januari 2019). "Bank M assets, liabilities transferred to Azania Bank". The EastAfrican Quoting Reuters. Nairobi. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2019. {{cite web}}: |author= has generic name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki M kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.