Awgin wa Klusma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Awgin wa Klusma (pia: Awgen au Eugeni; alifariki Nisibi, leo nchini Uturuki, 363, akiwa mzee) alikuwa mmonaki wa Misri ambaye inasimuliwa kuwa aliingiza mtindo huo wa maisha katika Kanisa la Waashuru.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bedjan. Acta Martyrum, Paris, 1892, tome iii, pp. 376–480
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.