Aristide wa Athens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aristide wa Athens

Picha takatifu ya Mt. Aristide.
Amezaliwa karne ya 1
Feast

Aristide wa Athens (alizaliwa Athens, Ugiriki, karne ya 1) alikuwa mwanafalsafa mwenye imani na hekima ambaye, kisha kuongoka, alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu aliyomtumia kaisari Hadriano[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Agosti[2] au 13 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/68400
  2. Martyrologium Romanum
  3. Theodropolous, Aristides. "Dr". Mystagogy Resource Center.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.