Antili za Kiholanzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nederlandse Antillen
Antili za Kiholanzi
Bendera ya Antili za Kiholanzi Nembo ya Antili za Kiholanzi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Libertate unanimus
(Kilatini: "Umoja kwa uhuru")
Wimbo wa taifa: Our islands in the sea
Lokeshen ya Antili za Kiholanzi
Mji mkuu Willemstad (Curacao)
12°7′ N 68°56′ W
Mji mkubwa nchini Willemstad (Curacao)
Lugha rasmi Kiholanzi
Serikali
Beatrix wa Uholanzi
Frits Goedgedrag
Emily de Jongh-Elhage
Ufalme wa kikatiba
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
960 km² (ya 184)
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
183,000 (ya 185)
229/km² (ya 51)
Fedha Gulden ya Antili za Kiholanzi (ANG)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .an
Kodi ya simu +599

-



Ramani ya visiwa vya Antili za Kiholanzi.

Antili za Kiholanzi ni visiwa kadhaa katika Bahari ya Karibi kati ya Puerto Rico na pwani ya Venezuela (Amerika Kusini) vinavyohesabiwa kati ya visiwa vya Antili Ndogo.

Visiwa vitano hukaliwa na watu, kuna vingi vingine vidogo. Vyote vilikuwa makoloni ya Uholanzi ila sasa vimekuwa sehemu za Ufalme wa Nchi za Chini katika hali mbalimbali za kisheria.

Visiwa hivyo kijiografia wanagawanyika kati ya:

Nyumba katika bandari ya Willemstad (Curacao)

Hali ya sasa[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vikubwa kiasi vya Aruba, Curaçao na Sint Maarten vimepata hali kama nchi ndani ya Ufalme wa Nchi za Chini; kila nchi ina bunge na serikali yake. Siasa ya nje na mambo ya jeshi ni ya pamoja zikiendeshwa na serikali ya Den Haag. Mahakama Kuu ya Den Haag itakuwa mahakama ya pamoja kwa ajili ya Uholanzi, Aruba, Curacao na Sint Maarten.

Visiwa vingine vitatu vinahesabiwa kama miji ya Uholanzi. Wakazi wanapiga kura kuchagua bunge la Uholanzi na bunge la Ulaya.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antili za Kiholanzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.