Ana Tereza Basilio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ana Tereza Palhares Basílio (amezaliwa 19 Oktoba 1967) ni jaji na Mwanasheria wa Brazil. Ana Basílio aliteuliwa na Rais Dilma Rousseff wa Brazil kuwa Jaji mbadala wa Mahakama ya Uchaguzi ya Mkoa wa Rio de Janeiro.[1][2][3][4]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Ana Basílio ana Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu cha Cândido Mendes huko Rio de Janeiro. Pia ana shahada ya Sheria ya Amerika ya Kaskazini kutoka Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison.[5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Felsberg planeja reduzir escritório pela metade". ConJur. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Juíza considera provas da 'Machadada' gravíssimas". Jornal O Diario. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Anna Ramalho". Jornal do Brasil. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Pirataria no mapa do Brasil". Justica e Cidadania. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Seção Principal", Veja Rio, p. 25. 
  6. "Novo Código de Processo Civil". Migalhas. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ana Tereza Basilio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.