Akpan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Akpan

Akpan, inayofahamika kama Akassa ni mtindi wa mahindi uliyochachushwa. Hi ni bidhaa ya chakula inayotumiwa na wau wa Congo na Togo, na pia no chakula kinacholiwa baada ya mlo. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.rfi.fr/hebdo/20170317-benin-akpan-yaourt-vegetal-artisanal-potentiel-productrice-after
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-21. Iliwekwa mnamo 2022-06-18.