Akin Akinsehinde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akin Akinsehinde (alizaliwa 14 Aprili 1976) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza kama mshambuliaji.

Akinsehinde' alishinda Nigeria FA Cup ya msimu wa 1991-92 na klabu ya El-Kanemi Warriors F.C. Pia alicheza soka la kulipwa nje ya nchi na klabu za SK Rapid Wien, First Vienna FC,[1] Akhaa Ahli Aley FC, na Zamalek SC.[2][3]

Alicheza katika timu ya taifa ya Nigeria mwaka 1993.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.firstviennafc.at/historisches/kader/36-1475/akinsehinde.html
  2. "Ex-Eagle named Seat of God FC TM", The Nation, 4 January 2021. 
  3. "Akinsehinde recalls best moments with Imenger", The Nation, 16 April 2021. 
  4. "International Matches 1993 - Africa". RSSSF. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akin Akinsehinde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.