Ahlem Hattab

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahlem Hattab (alizaliwa 7 Machi 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya ASF Sousse pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Match Report of Tunisia vs India - 2021-10-04 - FIFA Friendlies - Women - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-09.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahlem Hattab kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.