Abderrahmane Bacha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abderrahmane Bacha (kwa Kiarabu: عبد الرحمن باشا; alizaliwa 21 Desemba 1999) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria anayechezea USM Khenchela kwa mkopo kutoka USM Alger katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1.[1][2]

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2022,Abderrahmane alijiunga na USM Alger.Pia Mnamo 2023, alitia saini mkataba wa mkopo na klabu ya USM Khenchela.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "USM Alger : Abderrahmane Bacha signe pour deux saisons".
  2. "Mercato : Bacha, 2e recrue de l'USM Alger".
  3. "USM Alger : L'attaquant Bacha prêté six mois à l'USM Khenchela". elwatan-dz.com. 8 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abderrahmane Bacha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.