Udenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Udenda ni mate membamba yasiyokuwa na povu yanayoteleza na yanayomtoka mtu wakati amelala au wakati anapokula kitu chenye ugwadu au kilicho kitamu sana. Hii inaweza kutokea kwa watoto au kwa watu wazima.

Udenda kwa jina lingine huitwa uderere au ute.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Udenda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.