Kigupapuyngu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigupapuyngu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagupapuyngu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigupapuyngu 330. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigupapuyngu kiko katika kundi la Kiyolngu. Wengine hukiangalia kuwa Lahaja ya Kidhuwal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigupapuyngu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.