Kiminang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiminang (au Kimirnong) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waminang katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiminang ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminang kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kinyunga.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiminang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.