Kikungkari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikungkari kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakungkari katika jimbo la Queensland. Isichanganywe na lugha ya Kikunggari. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikungkari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikungkari kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikungkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.