Ufupisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufupisho (au muhtasari) ni kueleza upya jambo kwa maneno machache zaidi lakini bila kupoteza maana ya msingi.

Kwa kawaida idadi ya maneno inatakiwa kuwa theluthi ya habari ya awali.

Uwezo wa kufupisha unatumika kama kigezo kimojawapo cha kupimia uelewa wa mwanafunzi.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufupisho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.