Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1852

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1852 ulikuwa wa 17 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Franklin Pierce (pamoja na kaimu wake William R. King) alimshinda mgombea wa "Whig Party" Winfield Scott (pamoja na kaimu wake William A. Graham).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Pierce akapata kura 254 na Scott 42. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.