Kizaiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizaiwa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina na Myanmar inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kizaiwa nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Myanmar (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizaiwa iko katika kundi la Kiburmiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizaiwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.