Kilawu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilawu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Walahu. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kilawu imehesabiwa kuwa watu hamsini tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilawu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilawu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.