Jules Hoffmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jules Hoffmann

Jules Hoffmann (amezaliwa 2 Agosti, 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Luxemburg na Ufaransa. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Bruce Beutler na Ralph Steinman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jules Hoffmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.