Kiteressa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiteressa ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wateressa visiwani mwa Andaman na Nikobari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiteressa imehesabiwa kuwa watu 2080. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiteressa iko katika kundi la Kinikobari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteressa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.