Jimbo Katoliki la Fort Portal
Jump to navigation
Jump to search
Jimbo Katoliki la Fort Portal (kwa Kilatini "Dioecesis Arcis Portal") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Robert Muhiirwa.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 13,553, ambapo kati ya wakazi 1,885,000 (2013) Wakatoliki ni 1,139,869 (60.5%).