Jimbo Katoliki la Soroti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Soroti (kwa Kilatini "Dioecesis Sorotiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tororo.

Askofu wake hadi tarehe 2 Januari 2014 alikuwa Emmanuel Obbo, A.J.. Ndiye anayeendelea kusimamia jimbo kwa niaba ya Papa akiwa askofu mkuu wa Tororo. Askofu mteule ni Joseph Eciru Oliach.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 12,920, ambapo kati ya wakazi 1,858,000 (2014) Wakatoliki ni 1,010,789 (59.3%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]