Unpretty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Unpretty"
Wimbo wa TLC
kutoka katika albamu ya FanMail
ImetolewaAgosti 10, 1999 (1999-08-10)
MuundoCD single, 12" single, cassette single
Imerekodiwa1998;
D.A.R.P. Studios
Bosstown Recording Studios
(Atlanta, Georgia)
AinaPop rock, R&B
Urefu4:38
StudioLaFace, Arista
Mtunzi (wa)Dallas Austin, Tionne Watkins
Mtayarishaji (wa)Dallas Austin
Wendo wa nyimbo za TLC
"No Scrubs"
(1999)
Unpretty
(1999)
"Dear Lie"
(1999)
Video ya muziki
"Unpretty" katika YouTube

"Unpretty" ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na kuimbwa na kundi zima la Kimarekani TLC. Wimbo ulitayarishwa na Dallas Austin na ulitungwa ushirikiano baina ya Austin na wanakundi la TLC Tionne "T-Boz" Watkins kwa ajili ya albamu yao ya tatu iliyoitwa FanMail (1999). Wimbo umetengenezewa shairi lenye jina sawa na hili ambalo limetungwa na Watkins, ambalo linashughulika na harakati za mwanamke na taswira yake mwenyewe na mtazamo sio wa uzuri wake unaoneshwa kwenye vyombo vya habari. Mchangizi wa zamani Dallas Austin alisamsaidia Watkins kuigiza shairi hilo katika kutunga wimbo kwa ajili ya kumwezesha mwanamke wa kituo chao cha washabiki ilimradi kuyashinda mawazo ya kujiona pungufu katika jamii.

"Unpretty" kilikuwa kibao cha pili kutolewa katika FanMail. Ikawa kibao cha nne cha kundi kufikia nasasi ya nne katika chati za  Billboard Hot 100, kikitumia majuma matatu kwenye chati, na kibao namba moja mfululizo kutoka katika albamu, ikafuatiwa na "No Scrubs". Kwa mafanikio makubwa, wimbo ulipata kuchaguliwa kama "Wimbo Bora wa Mwaka na Pop Bora Iliyoimbwa na Watu Zaidi ya Wawili na Sauti kwenye tuzo za Grammy Awards. Remixi ya wimbo huu, imechukua sampuli ya Dennis Edwards na Siedah Garrett '  katika kibao cha "Don't Look Any Further", kilitayarishwa na JayDee of 1208Ent. na "Mad" Mike Lewin.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 • US CD Single (Green Cover)
 1. Unpretty (Album Version) - 4:38
 2. Unpretty ("Don't Look Any Further" Remix) - 4:25
 • UK CD 1 of 2 (Green Cover)
 1. Unpretty (Radio Version) - 4:08
 2. No Scrubs (Radio Version) - 4:06
 3. Diggin' On You (Radio Version) - 4:14
 • UK CD 2 of 2 (Blue Cover)
 1. Unpretty (Radio Version) - 4:08
 2. Unpretty (M. J. Cole Remix) [Vox Up] - 4:48
 3. Unpretty ("Don't Look Any Further" Remix) - 4:25

 • International Remix EP (Blue Cover)
 1. Unpretty (Radio Version) - 4:01
 2. Unpretty ("Don't Look Any Further" Remix) - 4:26
 3. Unpretty ("Don't Look Any Further" Remix w/ Rap) - 4:27
 4. Unpretty (Pumpin' Dolls Radio Mix) - 4:03
 5. Unpretty ("Don't Look Any Further" Remix) [Big Boyz Dub Mix] - 5:00
 6. Unpretty (Pumpin' Dolls Club Mix) - 8:59
 • European CD Single (Green Cover)
 1. Unpretty (Radio Version) - 4:09
 2. Unpretty (Album Version) - 4:38
 3. Unpretty (M. J. Cole Remix) [Vox Up] - 4:48
 4. Unpretty (M. J. Cole Remix) [Budd Dub] - 5:35
 5. Unpretty (Instrumental) - 4:41

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati za wiki[hariri | hariri chanzo]

Chart (1999) Nafasi
iliyoshika
Australia (ARIA)[1] 3
Austria (Ö3 Austria Top 75)[2] 24
Belgium (Ultratop 50 Flanders)[3] 13
Belgium (Ultratop 40 Wallonia)[4] 30
Finland (Suomen virallinen lista)[5] 12
France (SNEP)[6] 32
Germany (Media Control AG)[7] 16
Netherlands (Dutch Top 40)[8] 8
New Zealand (RIANZ)[9] 3
Norway (VG-lista)[10] 10
Sweden (Sverigetopplistan)[11] 8
Switzerland (Schweizer Hitparade)[12] 9
UK Singles (The Official Charts Company)[13] 6
US Billboard Hot 100[14] 1
US Pop Songs (Billboard)[15] 3
US Hot R&B/Hip-Hop Songs (Billboard)[16] 4

Chati za mwishoni mwa mwaka[hariri | hariri chanzo]

Chati (1999) Nafasi
Australia (ARIA)[17] 37
US Billboard Hot 100[18] 20
UK Singles (Official Charts Company) 44

Chati za mwishoni mwa muongo[hariri | hariri chanzo]

Chati (1990–99) Nafasi
US Billboard Hot 100[19] 76

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Certification Table Top Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Bottom

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Australian-charts.com – TLC – Unpretty". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 2. "TLC – Unpretty Austriancharts.at" (in German). Ö3 Austria Top 40. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 3. "Ultratop.be – TLC – Unpretty" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 2013-01-19.
 4. "Ultratop.be – TLC – Unpretty" (in French). Ultratop 40. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 2013-01-19.
 5. "Finnishcharts.com – TLC – Unpretty". Suomen virallinen lista. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 6. "Lescharts.com – TLC – Unpretty" (in French). Les classement single. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 7. "Kigezo:Singlechart/germanencode/Kigezo:Singlechart/germanencode/single Die ganze Musik im Internet: Charts, News, Neuerscheinungen, Tickets, Genres, Genresuche, Genrelexikon, Künstler-Suche, Musik-Suche, Track-Suche, Ticket-Suche - musicline.de" (in German). Media Control Charts. PhonoNet GmbH. Retrieved 2013-01-19.
 8. "Nederlandse Top 40 – TLC search results" (in Dutch) Dutch Top 40. Stichting Nederlandse Top 40. Retrieved 2013-01-19.
 9. "Charts.org.nz – TLC – Unpretty". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 10. "Norwegiancharts.com – TLC – Unpretty". VG-lista. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 11. "Swedishcharts.com – TLC – Unpretty". Singles Top 60. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 12. "TLC – Unpretty swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
 13. "Chart Stats – TLC – Unpretty" UK Singles Chart. Chart Stats. Retrieved 2013-01-19.
 14. "TLC Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
 15. "TLC Album & Song Chart History" Billboard Pop Songs for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
 16. "TLC Album & Song Chart History" Billboard R&B/Hip-Hop Songs for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
 17. http://www.aria.com.au/pages/aria-charts-end-of-year-charts-top-100-singles-1999.htm
 18. Billboard Top 100 - 1999. Iliwekwa mnamo 2010-08-28.
 19. Geoff Mayfield (December 25, 1999). 1999 The Year in Music Totally '90s: Diary of a Decade - The listing of Top Pop Albums of the '90s & Hot 100 Singles of the '90s. Billboard. Retrieved on October 15, 2010. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

[[[Jamii:Nyimbo za TLC]]