Kimala (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimala ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamala. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimala imehesabiwa kuwa watu 1390. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimala iko katika kundi la Kipihom.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimala (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.