Kichenapian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichenapian (au Kichenap) ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wachenap. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kichenapian imehesabiwa kuwa watu 180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichenapian iko katika kundi la Kiwogamusin-Chenapian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichenapian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.