Kiminidien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiminidien ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waminidien. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiminidien imehesabiwa kuwa watu 100 tu ingawa idadi ya Waminidien ni zaidi ya 1000, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminidien iko katika kundi la Kimaimai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiminidien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.