Kisepa (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisepa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasepa. Isichanganywe na lugha ya Kisepa izungumzwayo nchini Indonesia ambayo pia ni lugha ya Kiaustronesia. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisepa imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisepa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisepa (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.