Kimalay cha Kedah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimalay ya Kedah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Kedah nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu milioni 2.6. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uthai ambapo lugha huitwa Kimalay ya Satun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Kedah iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Kedah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.