Kilamaholot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilamaholot (pia Kisolor) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walamaholot kwenye kisiwa cha Flores, Alor, Solor na vinginevyo vya jirani. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilamaholot imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamaholot iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamaholot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.