Kienrekang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kienrekang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waenrekang kwenye kisiwa cha Sulawesi. Kipattinjo ni lahaja ya Kienrekang. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kienrekang imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kienrekang iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kienrekang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.