Kilaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walaro. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kilaro imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaro iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.