Live at the House of Blues (Tupac Shakur)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tupac: Live at the House of Blues
Tupac: Live at the House of Blues Cover
Live album ya 2Pac
Imetolewa Oktoba 3, 2005 (Marekani)
Imerekodiwa Julai 4, 1996
Aina Hip Hop
Urefu 118:00
Wendo wa albamu za 2Pac
The Rose, Vol. 2
(2005)
Tupac: Live at the House of Blues
(2005)
2Pac - The Prophet Returns
(2005) /Pac's Life
(2006)


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 2/5 stars[1]
RapReviews.com 7/10 stars[2]

Tupac: Live at the House of Blues lilikuwa tumbuizo la mwisho kurekodiwa la hayati 2Pac. Albamu ilikorekowa mnamo tar. 4 Julai, 1996 na kisha kutolewa mnamo 2005, miaka 9 baada ya kifo chake kunako mwaka wa 1996. Albamu imebeba vibao vikali kama vile "Hit 'Em Up", "2 of Amerikaz Most Wanted" na "So Many Tears". Tangu kutolewa kwake, albamu imeuza nakala zaidi ya milioni na kutunukiwa hadhi ya Platinum.

Ndani ya albamu kuna marapa kama vile Snoop Dogg, Tha Dogg Pound, Nate Dogg, na Outlawz. Toleo la DVD pia linapatikana, lina tamasha zima na nyongeza ya toleo zima la video kama vile "California Love", "To Live & Die in LA", "Hit 'Em Up", "How Do You Want It" na "I Ain't Mad at Cha".

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ambitionz az a Ridah"
  2. "So Many Tears"
  3. "Troublesome"
  4. "Hit 'Em Up"
  5. "Tattoo Tears"
  6. "All Bout U"
  7. "Never Call U Bitch Again"
  8. "Freek'n You"
  9. "How Do U Want It"
  10. "What Would U Do"
  11. "Murder Was the Case"
  12. "Tha Shiznit"
  13. "If We All Gone Fuck"
  14. "Some Bomb Azz (Pussy)"
  15. "Ain't No Fun (If the Homies Can't Have None)"
  16. "New York"
  17. "Big Pimpin'"
  18. "Do What I Feel"
  19. "G'z and Hustlas"
  20. "Who am I (What's My Name)"
  21. "Me in Your World"
  22. "For My Niggaz and Bitches"
  23. "Doggfather"
  24. "Gin and Juice"
  25. "2 of Amerikaz Most Wanted"

Vipengele maalumu (katika DVD tu)[hariri | hariri chanzo]

Miziki ya video

  1. "California Love" (RMX) [remix]
  2. "To Live & Die in L.A."
  3. "Hit 'Em Up"
  4. "How Do U Want It" (concert version)
  5. "I Ain't Mad at Cha"

Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu
Nafasi ya chati Nafasi
iliyoshika
French Charts 179 [3]
U.S. Billboard 200 159 [4]
U.S. Billboard Top R&B/Hip Hop Albums 48 [4]
U.S. Billboard Top Independent Albums 11 [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [Live at the House of Blues (Tupac Shakur) katika Allmusic Allmusic review]
  2. RapReviews.com review
  3. Steffen Hung. "Tupac - Live At The House Of Blues". lescharts.com. Iliwekwa mnamo 2010-12-22. 
  4. 4.0 4.1 "2Pac". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2010-12-22. 
  5. "2Pac". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2012-02-28.