Kibidiyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibidiyo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wabidiyo. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibidiyo imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibidiyo iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibidiyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.